Wednesday, 3 May 2017
MAADHIMISHO YA JUBILEI YA MIAKA 50 YA SHINYANGA SEKONDARI YAZINDULIWA RASMI..
Katika kuadhimisha miaka 50 ya shinyanga sekondari,wanafunzi pamoja na mhashamu askofu LIBERATUS SANGU wa jimbo la shinyanga walipanda miti katika kuhimiza juhudi za utunzaji mazingira na pia walichangia damu kuokoa maisha ya mama na mtoto hasa wakati wa kujifungua.
Pia mkuu wa shule NDG MALAMBI D MALELEMBA,alisema shule inakabiliwa na uchakavu mkubwa wa miundombinu kutokana na umri wa shule hiyo (1966) na idadi kubwa ya wanafunzi.
Askofu mhashamu liberatus sangu na mkuu huyo wa shule pia walitumia fursa hiyo kuwakumbusha wanashybush wote kujitoa kuchangia kutatua changamoto zinazoikabili shule.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
JOINING INSTRUCTIONS 2018 (FORM ONE)
KUIONA AU KUDOWNLOAD BOFYA LINK IFUATAYO https://drive.google.com/file/d/1GQwPjMe3jS37TGupIawwQpxTG48lfZI z/view?usp=sharing
-
KUONA MAJINA BOFYA HAPA
-
KUIONA AU KUDOWNLOAD BOFYA LINK IFUATAYO https://drive.google.com/file/d/1GQwPjMe3jS37TGupIawwQpxTG48lfZI z/view?usp=sharing
-
FORM 4A https://drive.google.com/file/d/0B6pmTewsfIc7MWNxNlVJX2JEdFE/view?usp=sharing FORM 4B https://drive.google.com/file/d/0B6pmTewsfIc7S...
No comments:
Post a Comment